
Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone augadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.
Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia hii huongeza usalama zaidi.

Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu, pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.
Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.
Nimekuwekea Video ya maelekezo ya lock hiyo inavyofanya kazi.
0 maoni:
Chapisha Maoni