Siku chache toka itoke taarifa ya kushikiliwa na jeshi la Polisi mzazi mwenzake na Rappa wa Bongofleva Ney wa Mitego, leo kupitia You heard Soudy Brown amemuuliza namna ambavyo anajisikia baada ya taarifa hii.
Bonyeza play kumsikiliza Soudy Brown akiongea na Ney wa Mitego.
0 maoni:
Chapisha Maoni