Ijumaa, 8 Mei 2015

KINACHOENDELEA DAR BAADA YA MVUA KUBWA AMBAYO ILIPIGA KWA SIKU TATU MFULULIZO

IMG_2405
Kama uko ndani ya Dar najua wewe ni shuhuda pia wa kile ambacho umekutana nacho kwa siku tatu mfululizo, mvua inanyesha na kukatika tangu May 5 2015.
IMG_2382
Mvua ilikata kwa muda, hapa baadhi ya vitu vimeokolewa kwenda na maji.
Tayari kuna watu wetu ambao wamekumbwa na mafuriko kutokana na mvua, nimepita maeneo ya Jangwani, Mchikichini na Kigogo.. Hizi ni baadhi ya picha hali ilivyo maeneo hayo.
IMG_2390
IMG_2392
IMG_2405
Sehemu ya kupita haionekani.. wengine wanakatisha kwenye maji.
IMG_2419
IMG_2420
IMG_2428
IMG_2442
IMG_2444
CHANZO CHA HABARI MILLARDAYO.COM
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text