CHANZO CHA HABARI MILLARDAYO.COM
Alhamisi, 14 Mei 2015
Home »
» MAZISHI YA MAMA WA MWIMBAJI ENOCK WA YAMOTO BAND
Enock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki jana hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.
0 maoni:
Chapisha Maoni