
Mapacha
wakiwa na watangazaji Adam Mchomvu na B12 muda mfupi tu baada ya
kumaliza interview yao ya kwanza on XXL toka waiombe msamaha Clouds FM.
Katika Exclusive interview waliyofanya kupitia kipindi cha XXL ya
Clouds Fm,Mapacha wamesema kwa sasa wameamua kuweka tofauti pembeni
zilizokuwepo mwanzo kwani bifu waliyokuwa wameitengeneza wamegundua
haikua na faida yoyote.

Wimbo
unaitwa ‘time for the money’ umetengenezwa kwenye studio za Soround
Sound zilizopo THT na producer wa wimbo huu ni Tudd Thomas ambapo ndani
kashirikishwa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu
0 maoni:
Chapisha Maoni