Rick Ross kila mtu anamjua kuwa na mwili mkubwa lakini hivi sasa
ameamua kupugua kabisa. Mwenyewe anasema kwamba ameamua kujiweka fit na
bado anakula anachokitaka lakini huwa anaenda gym kufanya mazoezi na
ameshapunguza kilo 45.

0 maoni:
Chapisha Maoni