Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila.
Afande Jamila baada ya kukabidhiwa zawadi zake.
Akiwa na tabasamu wakati akihojiwa na wanahabari.
Afisa
Masoko wa Global Publishers, wachezashaji wa Bahati Nasibu hiyo,
Innocent Mafuru, akiongea na wanahabari baada ya mshindi kukabidhiwa
chake.
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho, akiwaeleza jambo wanahabari (hawapo pichani).
MSHINDI
wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande
Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king’amuzi na dishi kutoka Azam TV
pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony
baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano
hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa
magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na Ijumaa
Wikienda.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
0 maoni:
Chapisha Maoni