Jumatatu, 23 Juni 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KILIMANJARO MUSIC TOUR HUKO IRINGA NDO WALIFUNGA AWAMU YA KWA KWANZA YA KILI MUSIC TOUR.

19
Wakazi wa Iringa wameifunga awamu ya kwanza ya Kilimanjaro Music Tour wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Samora kushuhudia wakali wa muziki nchini wakitoa burudani bila kujali hali ya hewa ya baridi.
Wakali wa Muziki akiwemo Snura, Linex, AY, Mwana FA, Profesa Jay, Izzo Bizness, Joh Makini, Juma Nature, Mwasiti, Nikki wa Pili na Gnako Warawara walilishambulia jukwaa kwa takribani saa sita mfululizo na kukonga nyoyo za maelfu waliojitokeza kushuhudia Tamasha hilo.
Ziara hiyo iliyozunguka mikoa mitano inatarajiwa kuendelea mwezi Agosti ikiwa ni kuupisha mwezi mtukufu wa Ramadhani na inatarajiwa kwenda mikoa ya Mbeya, Kigoma, Mtwara, Dodoma na kukamilishiwa Dar es Salaam.
1-1
2-1
3-1
4-1
5-1
6-1
7-1
8-1
9-1
10-1
11
12
14
15
16
17
18
20
21
22
23
24
25
26

MAONI YAKO NI MUHIMU JUU YA HII PIA WAWEZA SHARE.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text