Ijumaa, 20 Juni 2014

VIDEO MPYA YA VANESA MDEE

veeNi video ya pili kutoka kwa Vanessa Mdee,ambayo ilizinduliwa weekend iliyopita na pia watu waliohudhuria walipata nafasi ya kusikiliza wimbo mmoja wa Vanessa Mdee unaoitwa Hawajui,video hi imefanywa na Director Enos Olik na imetengenezwa nchini Kenya
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text