Jumapili, 22 Juni 2014

Argentina yaonyesha makali yake leo dhidi ya Iran kwa kupitia nyota wao messi

20140621-213255-77575842.jpg
Baada ya kupata sare dhidi ya Nigeria katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la dunia, timu ya taifa ya Iran leo ilikutana na Argentina.
Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 1-0 kwa Argentina, shukrani kwa goli la dakika ya tisini na moja la aliyekuwa mchezaji bora wa dunia kwa mara nne mfululizo Lionel messi.
Iran walipoteza nafasi kadhaa za kufunga huku wakicheza vizuri dhidi ya Argentina, iliyojaa mastaa wakubwa wa soka duniani.
Kwa matokeo hayo Argentina inakata tiketi ya kuingia hatua ya mtoano ya michuano.
MAONI

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text