Alhamisi, 26 Juni 2014

Wema Sepetu afichua siri ya Milard


collage
Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha 
Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekee ya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua #AMPLIFAYAkama kipindi cha Radio kinachopendwa.
img_6219
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text