Jumapili, 7 Septemba 2014

WASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA AJILI YA NUSU FAINALI CHINI YA UANGALIZI WA VODACOM


001.MABIBO
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye  Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 002.MABIBO
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya  Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 003.MABIBO
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” Mabibo jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay .
004.MABIBO
Mshiriki wa shindano la  Dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam Mstafa Yahaya akionesha umahiri wake wa kudansi wakati wa mazoezi yao ya  kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya  Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
005.MABIBO
Ramadhani Mohamed wa kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam  akionesha umahiri wake wa kudansi wakati wa mazoezi yao ya  kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
006.MABIBO
Waandishi wa habari wa ITV wakimfanyia mahojiano Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,kuhusiana na maandalizi ya washiriki wa shindano la  Dance 100% lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kuelekea nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay.
007.MABIBO
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akiongea na baadhi ya washiriki wa Dance 100% wa Kundi la Tatanisha Dancers wa Mabibo jijini Dar es Salaam, wakati alipowatembelea kambini kwao Mabibo,wanakojiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Waandishi wa habari wa ITV wakimfanyia mahojiano Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,kuhusiana na maandalizi ya washiriki wa shindano la  Dance 100% lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kuelekea nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text