Mtandao wa B5 umeripoti kuwa video ya wimbo wa Shaa ‘Sugua Gaga’ ndio video ya bongo Fleva kutoka Tanzania iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube.Rekodi hii ilikuwa ikishikiliwana Diamond platnumz na wimbo wake My Number One iliyotazamwa mara 3,746,408, kwa sasa ya Shaa ‘Sugua Gaga’ imetazamwa mara 3,955,702






0 maoni:
Chapisha Maoni