
Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga imeendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa – FC Barcelona waliikaribisha Athletic Bilbao kwenye dimba la Nou Camp. Mchezo huo uliomalizika muda mfupi uliopita umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-0 kwa vijana wa Luis Enrique.NI vitu kvya kipekee sana kwa wachezaji wenye majina makubwa kama haya...
Angalia magoli hapa hapa chini
FC Barcelona (2-0) Athletic Club by f100002117175853
0 maoni:
Chapisha Maoni