Ben Pol alitangaza mapema kuwa atasherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali walioko hospitali ya Muhimbili kitengo cha MOI ili kutoa misaada tofauti. Leo amefanya hivyo na hizi ndio picha za tukio zima.
PICHA NA SAMMISAGO.COM
0 maoni:
Chapisha Maoni