Jumamosi, 13 Septemba 2014

KWA KUSHIRIKIANA NA AYO TV, ANGALIA SHANGWE WALIZO PATA STAMINA NA YOUNG KILLER KWENYE USIKU WA FIESTA HUKO SHINYANGA


68
Stamina na Young killer ni miongoni mwa mastaa wa bongofleva walioshangiliwa sana kwenye hii show ya Serengeti Fiesta Shinyanga September 12 2014 ambayo watu wa Shy town walikuja kwa wingi na kuifanya ivunje rekodi ya kumaliza ticket zote.
Kama unataka kuona shangwe walilopata Stamina na Young Killer wakiwa kwenye stage tazama hii video hapa chini…

UKITAKA STORY YOYOTE ISIKUPITE ENDELEA KUWA MWANAFAMILIA WANGU HAPA HATA FACEBOOK KARIBUNI SANA.........

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text