
Nicki Minaj ametoa ya moyoni kuhusu mwalimu mkuu aliyemkatalia kwenda kutembelea shule ya sekondari aliyosoma [New York's Fiorello H. LaGuardia High] ili azungumze na wanafunzi wa shule hio. Kupitia twitter yake Minaj amefunguka kuwa alitaka kwenda kwenye shule hio kuhamasisha wanafunzi ambao wanapitia maisha aliyopitia yeye.
Nicki anasema shule hio imebadilisha maisha yake kabisa na angependa kubadilisha maisha ya wanafunzi hao kwa kusimulia stori yake.
0 maoni:
Chapisha Maoni