Jumatano, 17 Septemba 2014

HuSSEN MACHOZI AMETULETEA HIZI HAPA PICHA 9 ZA KWENYE VIDEO YAKE


h11Hussein Machozi ni staa wa bongofleva ambae alihamia nchini Kenya kwa muda ili kukamilisha mambo yake ikiwemo muziki anaoufanya toka kitambo ambapo baada ya mishemishe hizo anatarajia kurudi kuendelea kuishi Tanzania hivi karibuni.
Kwenye hii video mpya inayoitwa ‘nimepona‘ iliyofanywa Kigali Rwanda wataonekana watu wawili tu ambao ni yeye na huyu mrembo wa Rwanda tu na inatoka wiki hii.
h8
h9
h7
h6
h5
h3
h4
h2
H1
Kwa mtazamo wa picha hizo unatabiri hiyo video itakuwaje hapo baadae....?
Picha na millardayo.com

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text