Shirika la ndege la Fastjet limepata sifa kubwa nchini Tanzania kutokana na kusafirisha kwake abiria na kuanza kuiunganisha Afrika kwa kasi ambapo baada ya kuanzisha safari za nyumbani kati ya Mwanza – Dar, Kilimanjaro – Dar na Mbeya – Dar sasa hivi wamevuka mipaka.
Ni usafiri bora wenye haraka bila kuchelewa pia fastjet ni wenye kumjali mteja na kumpatia huduma zote zinazopatikana kwenye usafiri huo pindi mteja yupo safarini. SAFIRI NA FASTJET SASA KWA BEI POA........................















0 maoni:
Chapisha Maoni