Ijumaa, 12 Septemba 2014

HAWA NDO MASTAR WENGINE KUTOKA HUKO MAREKANI WALIOTEMBELEA TANZANIA....


Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AMSiku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.18 AMMastaa wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.25 AMGabrielle ana wafuasi zaidi ya milioni mbili na laki tatu kwenye page yake ya insta alikopost hizi picha za Tanzania. Na pia wamefurahi sana kwa yale yote waliyojionea katika ardhi ya JAKAYA. Inapendeza sana kuwa na watu kama hawa na wakaribu zaidi.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text