Jumamosi, 13 Septemba 2014

TAARIFA YA KUUNGUA TENA KWA MSIKITI WA MTAMBANI ULIOPO JIJINI DAR ES SALAAM


9Hii ni mara ya pili kutokea hitilafu ya umeme ambayo imesababisha moto kwenye msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni Manyanya baada ya mara ya kwanza ambapo uliungua tena August 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio wamesema kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme,Kikosi cha zimamoto na uokoaji kilifika na kufanikiwa kuuzima moto huo kabla haujaleta madhara zaidi.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
10
11
6
5
3Picha zote ni kutoka kwenye blog ya daresalaam-yetu.blogspot.com
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text