Jumapili, 7 Septemba 2014

PICHA YINGINE ZA AJALI YA MABASI MUSOMA ILIYOSABABISHA FIESTA KUAHIRISHWA


57Taarifa mpya zilizotoka kwa mganga mkuu wa hospitali ya mkoa asubuhi ya September 6 2014 ni kwamba idadi ya vifo imeongezeka kutoka 34 jana na sasa ni 39 ambapo idadi iliyoongezeka ni wale waliofia Hospitali.
45Shuhuda Patrick ambae ni mtangazaji wa Radio aliekua kwenye gari nyuma ya moja ya haya mabasi anasema wenye makosa ni madereva wa mabasi ambao walikua kwenye mwendo kasi na kushindwa kupishana kwenye daraja ambalo ni dogo, daraja lisiloruhusu mabasi mawili kupishana.
46Shuhuda mwingine anasema Mabasi haya mawili yalikua yakipigiana honi kutambiana kila mmoja amwache mwenzake apite hivyo mwenye Mwanza Coach alikua anaamini huyu wa J4 angempisha apite darajani vivyohivyo kwa mwenye J4 alikua anaamini huyu wa Mwanza coach angemwachia apite kwa hiyo huo mchanganyiko ndio ukawafanya wagongane katikati ya daraja na kuligonga gari dogo lililotumbukia darajani.
50
Waliosimama kwenye hii picha wako juu ya gari ambalo ndilo liligongwa na basi la J4 darajani na kutumbukia, ndani yake wamefariki Daktari wa hospitali ya mkoa wa Mara na mume wake.
51
52
53
54
55
49
48
Wachina wanaohusika kujenga barabara eneo hili walitoboa udongo kwa kule chini unapoona ili maji yapungue eneo hili na baada ya hapo wakaanza kulitoa gari lililokua limezama na ndani yake kulikua na watu
47
56
58
59
60
61
62
63
64
65
Haya mabasi yaligongana katikati ya daraja lakini hizi picha nilipiga baada ya kukuta yameshasogezwa
66
67
69
70
71
72
Shuhuda Patrick ambae ni mwandishi wa habari amesema taarifa alizozipata ni kwamba Wafanyakazi wote wa mabasi haya kuanzia dereva mpaka kondakta wamefariki.
73
74
75
CHANZO CHA PICHA #MILLARDAYO.NA PIA HAWA NI BAADI YA MASHUHUDA.


Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text