Jumatatu, 8 Septemba 2014

ULITAMANI KUJUA MWANAMKE ANAYETARAJIWA KUOLEWA NA PROFESA JAY? KAMTAJA HUMU........


peteeMiongoni mwa manguli wa muziki wa Bongo Fleva Profesa Jay ambaye pia yuko kwenye list ya mastar walioufanya muziki wa Tanzania kupata nafasi ya kukubalika na kuheshimika.
prof jayProfesa Jay ambaye ni baba wa mtoto Lissa amekubali kuongea na Soudy Brown kuhusu mwanamke anayetegemea kumuoa kwa siku za usoni na kusema kuwa kama Mungu atajaaliwa anategemea kumuoa Mama Lissa ambaye ni mzazi mwenzake.

  
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text