Alhamisi, 11 Septemba 2014

Jipya kuhusu uhusiano wa Pnc ni hili ambalo limemhusisha jamaa wa Saloon


burdnMiongoni mwa wasanii ambao wanawakilisha kanda ya ziwa ni pamoja na PNC ambaye baada ya kuhamia Dar es salaam kimuziki alijiunga na Tip Top Connection baadae Mtanshati chini ya Ostaz JumaNamusoma.
PNC1Mezani kwa Soudy Brown leo ni kuhusu madai ya kumtimua mwanamke aliyekua akiishi nae na sababu ambayo imeelezwa na dada huyo ambaye ameongea na Soudy Brown ni kuhusishwa kijana wa saloon.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.


Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text