Alhamisi, 11 Septemba 2014

HII HAPA KUHUSU SNURA NA SOUD BROWN JUU YA SKENDO KUWA ANAMIMBA.......


snuraaaKupitia singo zake za Majanga,Nimevurugwa na Ushaharibu zimefanya Tanzania na nje ya Tanzania kumfahamu Snura ambaye style ya muziki wake na namna ambavyo anaperfoam on stage imemfanya kuwa na mashabiki wengi.
Mezani kwa Soudy Brown kuna  stori ambazo zimesambaa kuwa Snura ni mjamzito ndiyo sababu inayomfanya kutosikika vizuri kama mwanzo,Meneja wake HK amezungumzia hili,baada ya Snura mwenyewe kutopatikana.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text