Jumanne, 9 Septemba 2014

USEMI HUU HUSEMA ''LIKE A FATHER,LIKE A SON'' SASA HII NI ''LIKE A SISTER,LIKE A YOUNG'' NI MDOGO WAKE NA KIM APIGA PICHA ZA UTUPU


KendallWiki moja iliyopita mke wa rapper Kanye West ‘Kim Kardashian’ alitajwa kuwa mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utupa kwa ajili ya jarida hilo.
Jipya ni kwamba mdogo wake Kim, Kendall Jenner naye amepiga picha kama hizo za utupu chini ya mpiga picha maarufu Russell James zitakazo kuwa kwenye kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho ‘Angels’. Fahamu kuwa Kendall anamiaka 18 tu.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text