Alhamisi, 4 Septemba 2014

KOCHA TAIFA STARS ATANGAZA WATAKAOKWENDA BURUNDI


Kocha wa timu ya Taifa Stars, Mart Nooij akitangaza majina ya wachezaji mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Kushoto ni kocha Mrt Nooij, Meneja wa timu Boniphace Clement pamoja na Dk Emile Richard wakiwa kwenye mkutano na wanahabari.(P.T)
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa Stars.
(Na Gabriel Ng’osha/GPL)
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mart Nooij ametangaza majina ya wachezaji 20 watakaokwenda Burundi, Katika mechi ya kimataifa ya kirafiki inayotegemewa kuchezwa tarehe 6 septemba mwaka huu.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text