Msanii Izzo Bizness ameanza kufanya video ya wimbo wake mpya ‘Walalahoi’ na director Nick Dizo.Inategemewa kuwa kuja ni video ya kipekee ya msanii Izzo kuliko video zake zote alizoziachia,tukae mkao wa kula kupata kichupa hiko.........................
0 maoni:
Chapisha Maoni