Rapper Nicki Minaj amelazimika kuacha kuva nguo fupi na bukta ili kupozi kama mke wa nyumbani kwenye jarida la Dazed & Confused. Kwenye jarida hili kuna picha tofauti zenye ujumbe kama Twisted Reality na Twisted Fantasy.Itakuwa sawa kwakwe rapper huyo alivyosema.
Ijumaa, 12 Septemba 2014
Home »
» PICHA ZA NICK MINAJ NA POZ TOFAUTI KWENYE JARIDA LA DAZEN AHIDI KUCHANGE MAVAZI......
0 maoni:
Chapisha Maoni