Jumatano, 24 Septemba 2014

SAUTI YA T.I AKIINGOLEA OCT 18 TANZANIA NA KISWAHILI KIDOGO ALICHOKIONGEA HUMO........


T.I 3Kupitia XXL ya CloudsFM September 23 2014 ndio T.I ametangazwa kuwa staa wa muziki wa kimataifa ambae atakua mgeni kwenye stage ya Fiesta 2014 Leaders Club KinondoniOctober 18.
T.I ni rapper kutokea Atlanta Georgia Marekani na umri wake ni miaka 33 na ni mkali wa hiphop duniani ambae ujazo wa jina lake ulianza kuonekana mwaka 2003 pale aliposhirikishwa na Bone Crusher kwenye single ya ‘never scared
T.I 2
CHANZO CHA AUDIO:MILLARDAYO.COM

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text