Alhamisi, 11 Septemba 2014

UMEIPATA HII YA NABII HUYU.......


on-air1Kama uliiskiliza Hekaheka ya jana ambayo ilikua ikimhusu Nabii mmoja aliyejipa jina la Nabii Tito anayepatikana maeneo ya sinza,ambapo mahubiri yake yako tofauti na maagizo anayofundisha Mungu kwenye vitabu vyake.
titoMiongoni mwa mambo ambayo aliyazungumza na kuwashangaza watu ni pale alipodai kunywa pombe sio dhambi na hata kuzaa na msichana wako wa kazi yaani House Girl ni ruksa.
Kingine alichosema ni kuhusu matumizi ya mipira ya kujamiiana(CONDOM) ni dhambi na waumini wake ni WALEVI TU,Leo utamskia Ant Sadaka ambaye ni mwanasaikolojia pamoja na Dr Isack ambao watamwelezea kwakina huyu nabii Tito  matatizo gani aliyonayo ya kiakili.
87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Arusha.
Bonyeza play kusikiliza.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text