Ijumaa, 5 Septemba 2014

Breaking news: Mwigizaji JOHN REVER AFARIKI DUNIA


bkng newsMchekeshaji/Mwigizaji  Joan Rivers amefariki dunia alhamisi jioni kwenye hospitali New York baada ya kulazwa kwa wiki moja. Mtoto wake ametoa tamko kwa vyombo vya habari kuwa “mama yao amefariki akiwa amezungukwa na familia na marafiki zake’.
joan-riversRivers amefariki akiwa na miaka 81 na amekuwa akisaidiwa kupumua na mashine. Joan alifahamika kwa kazi tofauti kwenye maisha yake ikiwemo Fashion Police ya E Entertainment.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text