Wachezaji wa Brazil Neymar na Marcelo wamekutana na rapper Drake na kula bata kwa muda mfupi huko Miami. Drake ambaye yupo kwenye tour na Lil Wayne alionekana mwenye furaha kukutana na wanasoka hawa kutoka Brazil. Drake pia amepewa jezi ya Neymar ya Barcelona yenye namba 11 mgongoni.
Jumatatu, 8 Septemba 2014
Home »
» PICHA,DRAKE ALIVYOKUTANA NA NEYMAR NA MARCELO MIAMI..
0 maoni:
Chapisha Maoni