Rapper Future na Ciara walioripotiwa kutengana mwezi moja nyuma wamepatana na kukubaliana kujenga familia yao. Hizi picha mbili za mtoto Future Zahir mwenye miezi minne akiwa na mama yake Ciara.
Ijumaa, 5 Septemba 2014
Home »
» HUYU NDIYE MTOTO ANAYEWALETA CIARA NA FUTURE KARIBU
0 maoni:
Chapisha Maoni