
Kwenye show ya Fashion Rock Aliyofanya Rapper Nicki Minaj inasemekana alikosea pozi na makalio yake kuonekana tofauti na yanavyoonekana kwenye picha zingine na kuzua gumzo kuwa yanaweza kuwa feki kama iliyoripotiwa miaka kadha iliyopita.
TUTAENDELEA KUKUPA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI YA NCHI NA NJEE YA NCHI HII NA KUKUPA BURUDANI PIA
0 maoni:
Chapisha Maoni