
Mabao mawili ya Thiago na Arda Turan wa Atletico Madrid yamezidi kuipa mwanzo klabu ya Real Madrid kwenye michuano ya kugombea ubingwa wa La Liga baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-1 kwenye mchezo wa ‘Madrid Derby’ uliopigwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu. Cristiano Ronaldo alifunga goli la kufutia machozi la Real Madrid lakini halikutosha kuwapa matokeo chanya vijana wa Carlo Ancelloti.
Hiki ni kipigo cha pili kwa Madrid katika kipindi cha siku 14, wiki mbili zilizopita walifungwa 4-2 na Real Sociedad.
Pia waweza kuangalia hapa chini jinsi ilivyokuwa......
All Goals HD Real Madrid vs Atletico de Madrid... by lancepremium
0 maoni:
Chapisha Maoni