Jumanne, 9 Septemba 2014

PICHA 14 ZA MISAADA WALIOTOA WASANII KWA AJILI YA MAJERUHI WALIOPATWA NA AJALI HUKO MUSOMA


4msmSeptember 05 zaidi ya watu 35 walipoteza maisha yao kutokana na ajali ya mabus mawili kugongana uso kwa uso eneo la Saba saba ambalo liko nje kidogo na mji wa Musoma,wasanii waliahidi kwenda kutoa misaada kwa watu waliokutwa na matatizo ya ajali hiyo.
Asubuhi ya leo September 08 kabla wasanii kuanza safari ya kurudi Dar walitiza ahadi yao kwa ndugu na jamaa pamoja ma majuruhi wa ajali kwa kuwatembelea katika hospitali ya mkoa wa mara walipolazwa majuruhi hao na kugawana nao kidogo walichokipata kupitia show yao ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika jana,
Jumla kuu ya thamani ya msaada huo ni Milioni 3.
14msm
13msm
12msm
11msm
10msm
9msm
3msm
5msm
6msm
7msm
8msm
2msm
1msm
KWA KUSHIRIKIANA NA millardayo.com tutakujuza kwa kina habari mbali mbali za hapa nchini kwetu na nje ya nchi hii........usisahau kulike page yetu ya facebook:https://www.facebook.com/pages/Samerickblogspotcom/1434548133478041?ref=bookmarks na kujipatia habari nyingi na zenye uhakika.

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text