Jumanne, 24 Juni 2014

UJIO MPYA WA JOH MAKINI

IMG-20140617-WA0000
Ni single nyingine kutoka kwa mwamba wa Kaskazini ambaye pia anawakalisha Weusi kampuni Joh Makini wimbo unaitwa Najiona mimi [I see me] umefanywa na Nah Real pamoja na Chizan Brain.
Mara ya mwisho kwa Joh Makini kutoa single yake kwenye Radio ilikua June 2013 ambayo ilikua kolabo na Fundi Samweli lakini sasa amerudi na hii. I SEE ME
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text