Jumapili, 22 Juni 2014

AJALI MBAYA YATOKEA JIJINI DAR WATU SITA WAPOTEZA MAISHA

IMG_9044Kwa mujibu wa Radio One Breaking News, Watu sita wamefariki papo hapo na wengine 12 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya iliyohusisha magari manne iliyotokea eneo la Makongo karibu na hospitali ya Lugalo Dar es salaam.
Baadhi ya mashahuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande usio wake.
IMG-20140621-WA0006

3
IMG-20140621-WA0003
MAONI
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text