Alhamisi, 19 Februari 2015

HAYA SASA NI MAAJABU HII HAPA KUHUSU UJUMBE WA MTOTO ALIOWAANDIKIA WAZAZI WAKE WASISHIRIKI HARUSI YAKE...

kdTumezoea kupata mialiko ya sherehe, hivi unaweza kuamini kuna mtu anaandaa kabisa yani kadi ya kumkataza mtu asihudhurie sherehe yake!
.
Alyssa na Alex
Msichana huyo Alyssa kutoka  Adelaide, Australia aliondoka nyumbani kwa wazazi wake akiwa na umri wa miaka 16 kutokana na kutokuwa na maelewano na baba yake, baada ya hapo ilipita miaka 7 bila kuonana nao, ilipofika wakati anakaribia kuolewa akaandika ujumbe huo kwa wazazi wake.
kd
Katika ujumbe wake aliandika kuwa hahitaji ushiriki wao katika harusi yao na watasherehekea kwa kukata keki, kula chakula na mambo mengine bila uwepo wa wazazi hao; “Together with our friends and family, Alex and Alyssa, would like to invite you to suck it and bask in our happiness, your bitterness and our mutual irritation at each other’s existence… As we completely ignore yours and celebrate our marriage without you. There will be a lovely ceremony, followed by cake, food and general merriment. And you’re not invited to any of it. Because f*** you that’s why.”
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text