
Ukiangalia wenzetu wamekua na uwezo wa kutengeneza vitu vizuri ambavyo hata wakati mwingine sio vya gharama kubwa lakini vina muonekano mzuri utaomvutia hata mgeni au mteja.


Hii inawafaa wale wanaojenga mall ndogondogo au wenye maduka ndani ya majengo au sehemu zenye usalama.. kuna uwezekano vibanda kama hivi vikajengwa kwa kutumia mbao na vioo na ukapata mvuto kama huu na wa kisasa na hata gharama isiwe kubwa sana na kikaweza kuhamishika au kuwa chepesi unapotaka kufanya mabadiliko ya muonekano.

Hii inafaa kwa wale watu wangu wenye ufinyu wa nafasi kwenye ofisi zao, kwenye mistari miwili ya upande wa kulia unaweza kupanga team na upande wa kushoto ukamaliza na wakuu wa Idara, nimeikubali sana kwenye upande pia wa Taa, na meza za mbao.

Reception inaweza kuwa simple lakini yenye ubunifu mkubwa sana, tazama kuanzia meza ilivyo na rangi moja, ukuta wa mbao, taa zake juu na sakafu…. nzuri sana
CHANZO CHA HABARI MILLARDAYO.COM
0 maoni:
Chapisha Maoni