• This is default featured slide 1 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 2 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 3 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 4 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 5 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Alhamisi, 14 Mei 2015

ALIKUWA ANATAKA KUPIGA PICHA YA SELFIE NA ALIPANDA JUU YA TREN LAKINI HIKI NDO KILIMTOKEA BAADA YA KUPANDA JUU ...

anna
Upigaji wa picha za selfie Umeendelea kupata umaarufu kila siku duniani kutokana na kazi ya teknolojia inayozidi kukua.
Kila mtu anatamani kuwa na simu ya Smartphone ili tu aweze kupata urahisi wa mawasiliano pamoja na upigaji wa picha hizo.
Hii imetokea kule Romania baada ya binti wa miaka 18 Anna Ursu na wenzake kujaribu kupiga picha juu ya treni inayotembea ili wapate picha ya selfie ya kipekee lakini kilichotokea ni kingine baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakiwa juu ya treni hiyo.
anna
Anna Ursu akiwa juu ya treni baada ya kupigwa na shoti ya umeme
Wasichana wawili walibahatika kuokolewa na kukimbizwa hospitali lakini mwili wa Anna Ursu ulikua umeuungua kwa kiasi kikubwa huku wenzake wakiwa na majeruhi machache na baada ya muda kidogo alifariki.
Madaktari wamesema kwamba Anna alipigwa na shoti ya umeme na nyaya zilizokua zimepita juu wakati wa tukio hilo la picha na kusababisha volt 27,000 kutembea kwenye mwili wake na kusababisha mwili wake kua kama transfoma ya umeme hivyo kua ngumu kupona kwa kuwa alikua na uwezo wa kumlipua mtu yoyote atakaye mgusa.
Share:

SOMA NA KUTANA NA HABRI ZILIZO BEBA HEADLINE KWENYE MAGAZETI YA LEO...

MagzNakukutanisha tena na stori kubwa za Magazeti kutoka kwenye kila kilichoandikwa na Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye udaku, michezo na hardnews ambapo stori nyingine kubwa iliyopewa nafasi kwenye page ya kwanza ni habari ya Rais wa Burundi kupinduliwa madarakani.
DSC02507
DSC02509
DSC02533DSC02534
DSC02510
DSC02511
DSC02512
DSC02513
DSC02514
DSC02515
DSC02516
DSC02517
DSC02518
DSC02520
DSC02521
DSC02522
DSC02523
DSC02524
DSC02525
DSC02526
DSC02527
DSC02528
DSC02529
DSC02530
PIA USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK SAMERICK BLOG NA KWA KUPATA MENGINE ZAIDIDSC02531

Share:

HIZI NI DALILI 10 ZA MWANANUME AMBAYE AMEFULIA KWA MPENZIWE........

MWLabda inawezekana unazijua dalili chache za Mwanaume aliyefulia lakini kuna nyingine za ziada kutoka kwa Mike Tee, ukishazisoma hizi niambie unakubaliana nayo kwa asilimia ngapi au dalili zipi hapa umeshawahi kukutana nazo?
MIKE TEE MAY 13 2015 DALILI ZA MWANAUME ALIYEFULIA
Share:

MAZISHI YA MAMA WA MWIMBAJI ENOCK WA YAMOTO BAND

Screen Shot 2015-05-13 at 8.18.02 PMEnock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki jana hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.
Screen Shot 2015-05-13 at 8.43.02 PM
Enock
Screen Shot 2015-05-13 at 8.14.28 PM
Screen Shot 2015-05-13 at 8.14.47 PM Screen Shot 2015-05-13 at 8.15.02 PM Screen Shot 2015-05-13 at 8.15.25 PM
Screen Shot 2015-05-13 at 8.17.23 PM Screen Shot 2015-05-13 at 8.17.37 PM
Screen Shot 2015-05-13 at 8.18.12 PM
Aslay wa Yamoto Band ni miongoni mwa waliokwenda kwenye maziko.
CHANZO CHA HABARI MILLARDAYO.COM
Share:

Jumatano, 13 Mei 2015

VIWANJA 10 HATARI DUNIANI AMBAPO NDEGE IKIRUKA AU IKITUA RUBANI AKIKOSEA JUA NI HATARI TUPU PATA MUDA KUVIANGALIA HAPA....

NdegeKuna viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
Kwenye hii list hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika.
a1
a2
a3
a4
a5
a6
a7
a8
a9
a10
a11
a12
a13
a14
a15
a16
a17
a18
a19
a20a21a22a23a24a26a27a28a29a30a31a32a33a34a35
CHANZO CHA HABARI NA MILLARDAYO.COM 
LAKINI PIA WAWEZA KULIKE PAGE YA FACEBOOK KWA KUANDIKA SAMERICK BLOG

Share:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text