• This is default featured slide 1 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 2 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 3 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 4 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 5 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumanne, 29 Julai 2014

TUNDA MAN KUPATA SIMU YA AJABU JULY 28

hatari 
Kuna kipindi stori za namba ambazo wengi walikua wakisema za ajabu na endapo zikikupigia usipokee zilikuwa zikitawala sana kwenye mitandao ya kijamii na wengi pia walikua wakizonyesha namba hizo.
Tunda Man ambaye pia ni miongoni mwa watu wanaounda kundi la Tip Top Connection Jioni ya July 28 amepata simu hiyo ambayo amedai kwake ilikua ni mara ya kwanza kupigiwa kwani namba hizo hajawahi kuziona zikimpigia kabla.
2nda 
Tunda man ameongea na millardayo.com na kusema>>’Nilikua nafuturu jana jioni wakati naendelea kufuturu nikapigiwa simu namba sikua nazijua kwani zilikua za maajabu tu,sikupokea,ilipiga kama mara 30 hivi’
‘Baadae nikapokea na kisha nikaiweka mbali kidogo na mimi wakati nasema hallow ghafla kitu kama shoti ya umeme kikaanza kutembea kwenye viganja mpaka kwenye mkono nikakosa nguvu kabisa nikawaambia jamani nipelekeni hospital’
‘Tukaenda hospital ya Serikali hapo Palestina,Dokta akasema huu ugonjwa tangu ameanza kutibia watu hajakutana nao ni mara yake ya kwanza hivyo matibabu aliyokuwa akinipatia ni kama ya mtu aliyepooza ghafla’
‘Kwa sasa namshukuru Mungu naendelea vizuri ingawa kuna dawa nimepewa zingine nameza mara 2 kwa siku na vidonge vingine ni mara 3 kwa siku pia nimechomwa sindano’
Hii ndiyo namba iliyompigia Tunda
12nda
Bonyeza play kumsikiliza Tunda Man akielezea hali hii.
Share:

USHINDI MPYA WA CHRIS BROWN KUWA BADO ANA MAPENZI NA RIHANA

rihan3
Kila mtu ana story yake ya uhusiano wake na mpenzi wake lakini hii story ya Chris Brown na Rihanna inachukua attention ya watu wengi kutokana na mambo yanayoendelea kati yao.
Kila muda ukipita inatokea tetesi kwamba Chris Brown ana mawasiliano ya siri na Rihanna lakini bado hakukuwa na ushahidi kuthibitisha hilo.
Kitu kipya hivi sasa kinachotafsiriwa kwamba bado Chris ana mawazo na kumbukumbu juu ya uhusiano wake na Rihanna ni kutokana na picha ya rafiki wa Rihanna. Melissa Ford ambaye ni rafiki wa karibu wa Rihanna ali post picha ya Chris na Rihanna na kuandika kuwa ni hao ndio couples anaowapenda.
chris2
Baada ya hapo Chris Brown ali like hiyo picha na kuonyesha kwamba amefurahia hiyo post. Kutokana na ukaribu wa Rihanna na Melissa sio rahisi kwa Melisa ku post picha hiyo kama mambo bado ni mabaya kati ya Riri na Chris. Kama kuna lolote linaendelea kati ya Chris Brown na Rihanna lazima Melissa Ford awe anajua kwasababu wapo karibu sana.
Wachambuzi wanasema kwamba kuna kitu kinaendelea chini kwa chini kati ya Chris Brown na Rihanna na hivi karibuni kinaweza kuwekwa wazi.
rihan
Rihanna na Melissa Ford
Share:

NIKI MINAJ ANAZIDI KUMAKE HEADLINE KWENYE INTERNET ZA HIZI PICHA.

minaj3
Ikifika tarehe tarehe 4 mwezi wa 8 mashabiki wote wa Nicki Minaj watafungua iTunes kununua wimbo mpya wa Nick Minaj unaitwa Anaconda. Lakini hivi sasa kick kubwa ni cover ya picha za wimbo huo ambayo alipost kwenye instagram na hadi hivi sasa imepata likes zaidi ya milioni 3.
Picha ya kwanza imepigwa kutoka kwa nyuma na hivi sasa ametoa nyingine iliyopigwa kutoka mbele.
minaj2
minaj
TUTAKUHABARISHA KWA LOLOTE AMBALO LITAJITOKEZA KOKOTE KULE DUNIANI.
Share:

SHAKIRA NI MJAMZITO TENA?Hiki alichokisema Gerard Pique

10489743_10152593312094596_2669401762394977952_n 

Kwa mara nyingine tena familia ya mwanamuziki maarufu duniani Shakira na mchumba wake mwanasoka, Gerard Pique  - imeingia kwenye ‘headlines’ za vyombo vya haari ulimwenguni.
Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ukiwemo mtandao wa tracetv unaripoti kwamba mchumba wa Shakira, Gerard Pique amekaririwa akisema hitmaker wa ‘Hips Dont Lie’ ni mjamzito kwa mara nyingine tena.
Kulikuwepo na tetesi nyingi hasa baada ya Shakira kutumbuiza kwenye kombe la dunia liloisha hivi karibuni nchini Brazil, lakini kambi ya Shakira ilikanusha uvumi huo.
Lakini jana kupitia channel ya kilatino ya “Fox News” – kituo hicho cha TV kiliripoti kwamba Pique amewathibishia kwamba Shakira ni mjamzito.
Pique na Shakira tayari wana mtoto mmoja wa kiume waliyempa jina la Milan, ambaye alizaliwa mnamo mwaka 2012, miaka miwili baada ya wazazi wake kuanza mahusiano yao wakati wa utengenezwaji wa wimbo wa kombe la dunia 2010.
Share:

NI LONG TIME HUJAWASIKIA P SQUARE SASA TAZAMA KICHUPA HIKI NI BONGE YA KOLABO

Screen Shot 2014-07-29 at 4.58.20 AM 

Labda inawezekana ni utaratibu waliojiwekea P Square ambao pamoja na kwamba huonekana mara chache wakiwa wameshirikishwa kwenye nyimbo na Wasanii wengine wachache wa Afrika, huwa inatokea mara chache sana.
Miongoni mwa wachache waliopata nafasi ya kufanya kolabo na P Square ni huyu mshkaji anaitwa Phyno na video yenyewe ndio hii hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=JUJ9EkExLEg#t=0
Share:

PICHA 13 TOKA KENYA ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA SHILOLE ,'NAMCHUKUA'

sh12
Director yuleyule ambae mikono yake inahusika kuisuka video mpya ya Nay wa Mitego iitwayo ‘Mr. Nay’ ndio amehusika kuisuka na hii mpya ya Shishi baby hukohuko nchini Kenya.
Wakati tukiisubiria video yenyewe, Shilole ametutumia baadhi ya picha zikionyesha ilivyokua kwenye utengenezaji wa ‘namchukua
sh13
sh11
sh10
sh9
sh8
sh6
sh7
sh4
sh3
sh2
sh1
sh5
Share:

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA JULY 29 20014

.
.
Kama kawaida samerick.blogspot.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
,
,
.
.
.
.
.
.
.
.
Share:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text