Mara
yake ya mwisho kusikika na single mpya kwenye Radio ilikua June 2013 na
ilikua ni ‘Kabinti special’ ambayo video yake ilionekana ndani ya muda
mfupi sana toka iachiwe na hiyo ni kutokana na video hiyo kutajwa kwamba
haijazingatia maadili ya Kitanzania kuonyeshwa hadharani.
Sasa leo Dully anayofuraha kutualika kusikiliza single yake mpya
inaitwa ‘Togola’ ambayo baada ya kuisikiliza unaweza kuacha maoni yako
kwenye comment hapa chini ili akipita baadae jioni asome kutoka wa watu
wake
Jumatatu, 28 Julai 2014
Home »
» DULLY ANAKUKARIBISHA KATIKA NGOMA YAKE MPYA YA TOGOLA............
0 maoni:
Chapisha Maoni