Jumatatu, 28 Julai 2014

Home » AyoTV » Fuse ODG karudi tena na hii, kafanya na Sean Paul. (new video) Fuse ODG karudi tena na hii, kafanya na Sean Paul. (new video)

Screen Shot 2014-07-28 at 6.46.43 AM 
Nana Richard Abiona maarufu kama FUSE ODG ambae ni Muingereza mwenye asili ya Ghana, ni staa mwingine ambae ana rekodi zake kwenye list ya mziki mkali wa Afrika 2013/2014.
Baada ya kufanya muziki na mastaa wa dunia kama Wyclef Jean kwenye ‘Antenna‘ ambayo ilishika mpaka nafasi ya 7 kwenye chart za muziki UK na ‘Azonto‘ iliyochukua mpaka namba 30 kwenye chart hizo
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text