-
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
Alhamisi, 16 Aprili 2015
Alhamisi, 9 Aprili 2015
HII NDO LIST YA MAKOCHA WAKUBWA DUNIANI AMBAO INASEMEKANA WANALIPWA MSHAHARA MKUBWA ZAIDI.
List ya makocha wa mpira wa miguu wanaoongoza kwa kulipwa vizuri kwenye soka mpaka sasa ambapo namba 1 imechukuliwa na Pep kama unavyoona list nzima hapa chini

Leo kasikika Dayna.. Linex kuhusu video yake kutopigwa MTV na TRACE.. Ngoma mpya ya Young Dee kutoachiwa… #255
Mkali mwingine kwenye 255 ni Linex kulalamikia video yake kukosa airtime kwenye kituoMTV na Trace Tv.. Kasikika tena leo kwenye 255, Linex amesema anachukulia kama changamoto kwa video yake kushindwa kuchezwa kwenye vituo hivyo.. haijamkatisha tamaa, atafanya video nyingine ambayo atahakikisha ina vigezo vya kuchezwa kwenye vituo hivyo.
Kuhusu video za Madee, Chege na Temba nazo kutochezwa kwenye vituo hivyo amesema alipeleka ila haikuwa kwenye ukubwa waliokuwa wanautaka.. Tale amesema anategemea kutuma tena kwenye ukubwa wanaoutaka ili zianze kuchezwa.LEO SOUDY BROWN KASOGEZEWA LIST YA WASANII WANAOVUTA SIGARA #U HEAD......
Watu wamemfikishia Soudy Brown list ya wasanii ambao wanavuta sigara BONGO.. waliotajwa ni JCB, Linex, Vee Money, AY, Tuddy Thomas, Mzee Magari, Suka naAdam Mchomvu.BAADA YA AJALI YA TANGA ,HII NYINGINE MOROGORO LEOLEO.....R.I.P KWA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA
Mara nyingi stori za aina hii huanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, baadae unaona RADIO na TV nazo zinaanza kuripoti.. Siku ya leo APRIL 9 watu walianza kusambaziana picha za ajali iliyotokea Tanga, mabasi mawili ya abiria na gari dogo yamegongana, watu 10 wamefariki na wengine kujeruhiwa.. kabla siku haijaisha naipokea hii nyingine kutoka Morogoro.BAADA YA AJALI YA TANGA ,HII NYINGINE MOROGORO LEOLEO.....R.I.P KWA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA

Mara nyingi stori za aina hii huanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, baadae unaona RADIO na TV nazo zinaanza kuripoti.. Siku ya leo APRIL 9 watu walianza kusambaziana picha za ajali iliyotokea Tanga, mabasi mawili ya abiria na gari dogo yamegongana, watu 10 wamefariki na wengine kujeruhiwa.. kabla siku haijaisha naipokea hii nyingine kutoka Morogoro.HAYA SASA MAAJABU NA HII ILIMUACHA MWANAMKE MMOJA HOI HUKO KENYA BAADA YA KUMFUMANIA MAMA AKIWA NA MTOT WAKE......
Visa vya fumanizi vimeripotiwa tena.. hii imetoka Kenya, mwanamke amelalamika kwamba alimfumania mume wake na mwanamke ambaye alikuwa akimfahamu kuwa ni mama wa kambo wa mume wake.BONDIA WA MWISHO KUMPIGA FLOYD MAYWEARTHER ETI HANA HATA TV!!!!!!!!(www.samerick.blogspot.com)