Watu wamemfikishia Soudy Brown list ya wasanii ambao wanavuta sigara BONGO.. waliotajwa ni JCB, Linex, Vee Money, AY, Tuddy Thomas, Mzee Magari, Suka naAdam Mchomvu.
Baada ya kupata list hiyo Soudy alitaka kuujua, akamtafuta msanii Maunda Zorroambae amesema ni kweli anavuta sigara ila havuti kila siku.. Maunda amesema alianza kuvuta muda mrefu, kwa siku anaweza kuvuta mpaka sigara tatu.
Soudy akahamia kwa staa wa Bongo Movie, JB.. yeye amejibu hivi; ” afu wewe ulishasikia mimi navuta sigara? lini ulishasikia navuta sigara?”– JB. IMESABABISHWA NA Millardayo.com
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…






0 maoni:
Chapisha Maoni