Jumanne, 10 Machi 2015

AJALI YA HELICOPTER MBILI HUKO ARGENTINA NA MOJA ILIKUWA IMEBEBA WANAMICHEZO WATATU WA UFARANSA

cptaWanamichezo watatu walioshiriki mashindano ya Olympiki mwaka 2012 London, ni miongoni mwa watu 10 waliofariki katika ajali ya helkopta iliyotokea Argentina wakati walipokuwa wakitengeneza reality show ya TV inayoitwa ‘Dropped‘.
wanafunziiiAjali hiyo imetokea Kaskazini Mashariki mwa Argentina wakati helikopta mbili zilipogongana na kuua watu hao pamoja na marubani wawili, Juan Carlos Castillo naRoberto Abate pamoja na raia wengine watano.
koptaa
Wanamichezo hao Florance Arthaud ambaye alishinda katika mchezo wa kupiga makasiaCamille Muffat alishinda medali ya dhahabu kwa upande wa mchezo wa kuogelea kwa wanawake na bondia wa ngumi Alexis Vastine aliyeshinda medali ya fedha.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text