Jumanne, 10 Machi 2015

HAYA SASA PAH ONE WAMERUDI TENA......

Pah OneHii ni miongoni kwa video zilizoachiwa leo hapa TZ, kundi la PAH ONE wamemshirikisha L Tido wa Afrika Kusini, wimbo unaitw‘KIZUBANETA’, kazi ya video imefanywa na director Adam Juma.
Hawa jamaa waliwahi kuwa kundi moja na Aika na Nahreel, kwa time yako unaweza kucheki hapa video hiyo mpya.. Play
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text