Gelly Wa Rhymes ni kama hatujamsikia kwa kipindi kirefu hivi, kwa wale wapenzi wa muziki na mashabiki wake leo ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa ‘Iyolele’, kama hujapata nafasi kuuona basi unaweza kuucheki hapa.
Video imefanywa na Kampuni ya Kwetu Studio.
Tumia dakika zako tatu kuitazama hapa mtu wangu kwa kubonyeza play hapa.
0 maoni:
Chapisha Maoni